Nenda kwenye maudhui
  • Nyumbani
    • Tuma ujumbe faraghaniKaa mtandaoniJenga jumuiyaJielezeWhatsApp ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Pakua
Pakua
Sheria na Sera ya Faragha2024 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Kaa mtandaoni

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Jenga jumuiya

      Mazungumzo ya vikundi yamerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • Biashara ya WhatsApp

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • WhatsApp Web
  • Pakua
Pakua

Mahali ambapo panakufaa

Tuma ujumbe kwa urahisi kwenye vikundi na jumuiya ili uendelee kuwasiliana na watu muhimu kwako.

Iwe ni kupanga matembezi na marafiki wa karibu au kufuatilia soga za familia yako, mazungumzo ya kikundi yanakuwezesha kufanya hivyo kwa urahisi.

Vikundi vyako kwenye WhatsApp

Leta pamoja watu wa karibu zaidi. Kuanzia familia yako nchini Brazili hadi klabu ya soka ya eneo lako, anzisha kikundi cha watu wote.

  • Unganisha vikundi vinavyohusiana

    Jumuiya hukuwezesha kupanga vikundi vyako vinavyohusiana katika sehemu moja na kuvifikia kwa urahisi.

  • Tuma matangazo

    Fikia wanajumuiya wote mara moja kupitia kikundi cha matangazo.

  • Anzisha mazungumzo kuhusu mada mahususi

    Endeleza mazungumzo kuhusu suala mahususi kwa kuhusisha vikundi vya watu wengi au wachache!


Dhibiti vikundi
vyako

Ondoa washiriki

Wasimamizi wanaweza kuondoa vikundi au washiriki wanaokiuka kanuni za Jumuiya.


Kufuta soga

Wasimamizi wa jumuiya na wa vikundi wanaweza kufuta soga au maudhui yasiyofaa kwa washiriki wote wa kikundi.


Pata maelezo zaidi

Nyenzo za ziada za mafunzo kwa wasimamizi kuhusu kutumia vipengele na kudhibiti jumuiya yao kwa njia madhubuti.

Kituo cha Mafunzo cha Jumuiya

Je, unahitaji usaidizi zaidi?

Angalia Maswali Yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Je, ninawezaje kuunda na kuwaalika watu kwenye kikundi?
Ninaweza kujifunza wapi zaidi kuhusu Jumuiya?
Je, ni jinsi gani ambavyo ninaweza kuunda Jumuiya?
Je, Matangazo ya Jumuiya ni nini?
Je, ninawezaje kuwaalika watu kwenye Jumuiya?
Tazama Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma ZetuVipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni naniKutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsAppAndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?Wasiliana NasiKituo cha MsaadaPakuaUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2024 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap