Nenda kwenye maudhui
  • Nyumbani
    • Tuma ujumbe faraghaniKaa mtandaoniJenga jumuiyaJielezeWhatsApp ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Pakua
Pakua
Sheria na Sera ya Faragha2024 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Kaa mtandaoni

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Jenga jumuiya

      Mazungumzo ya vikundi yamerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • Biashara ya WhatsApp

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • WhatsApp Web
  • Pakua
Pakua

Salama ilivyokusudiwa

Ili kukuweka salama, tumeunda hali ya utumaji ujumbe na kupiga simu kwa usalama wa hali ya juu, tumeunda zana bunifu ili kukuweka kuwa na udhibiti, na tuko tayari kukusaidia unapohitaji.

Safu za usalama zilizojumuishwa hukupa utulivu wa akili ili kuzingatia kuunganishwa na familia na marafiki.

Faragha chaguomsingi

Hakuna mtu anayeweza kutafuta nambari yako ya simu au kusoma ujumbe wako wa kibinafsi.


utambuzi wa barua taka kiotomatiki

Tunakamata na kuondoa akaunti nyingi za barua taka na za ulaghai kabla hata ziweze kukufikia au kabla ya mtu yeyote kuziripoti.

Arifa za usalama zinazotumika

Tunakuomba kuthibitisha utambulisho wako ikiwa tutagundua majaribio yoyote ya kutiliwa shaka au ambayo hayajaidhinishwa kuchukua akaunti yako.

Dhibiti matumizi yako

Angalia hatua hizi rahisi ambazo zitaongeza safu za ziada za ulinzi ili kuzuia wavamizi na walaghai wasiibe akaunti na data yako.

Wezesha uthibitishaji wa hatua mbili

Sanidi pin ya siri na usiwahi kuishiriki na mtu yeyote ili kuzuia mtu kuiba akaunti yako.

Pata maelezo zaidi

Tumia WhatsApp rasmi kila wakati

Kutumia matoleo ghushi ya WhatsApp huleta hatari kubwa za faragha na usalama kwa akaunti na data yako.

Pata maelezo zaidi

Dumisha usalama kwenye vikundi vyako

Dhibiti ni nani anayeweza kukuongeza kwenye vikundi na nani anaweza kujiunga na vikundi vyako, na kuwaondoa wanachama au ujumbe inapohitajika.

Pata maelezo zaidi

Pata maelezo kuhusu kutambua utapeli

Jua ulaghai na hatua za kawaida unazoweza kuchukua ili kujilinda wewe na wapendwa wako.

Pata maelezo zaidi

Tunatarajia na kukabiliana na hatari mpya na kukupa zana za kukusaidia unapohitaji.

Ripotitabia yenye matatizo

Kuripoti ujumbe, watu au biashara hutusaidia kuweka WhatsApp salama kwa kila mtu. Usijali, hatutamtaja mtumaji.

Pata maelezo zaidi

Zuiamwasiliani asiyetakikana

Ikiwa mtu ambaye hutaki kupiga gumzo naye anakutumia ujumbe, mzuie tu na tutahakikisha kuwa hutapokea tena ujumbe au simu zake.

Pata maelezo zaidi

Rejesha akaunti yako

Ikiwa umepoteza ufikiaji wa akaunti yako, sajili tena nambari yako ya simu. Mazungumzo ya awali ni salama kwenye simu yako na hayawezi kusomwa na mtu yeyote anayejaribu kufikia akaunti yako.

Pata maelezo zaidi

Je, unahitaji msaada zaidi?

Angalia Maswali yote Yanayoulizwa Sana
Je, ni jinsi gani ninavyosalia kuwa salama kwenye WhatsApp?
Je, ni jinsi gani ninavyoweza kutumia WhatsApp vizuri?
Je, ni jinsi gani ninavyoweza kulinda akaunti yangu ya WhatsApp?
Je, WhatsApp hushughulikia vipi habari potofu?
Je, WhatsApp huzuiaje matumizi mabaya wakati wa uchaguzi?
Nitajuaje ikiwa ninapiga gumzo na akaunti ya biashara kwenye WhatsApp?
Angalia yote Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma ZetuVipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni naniKutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsAppAndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?Wasiliana NasiKituo cha MsaadaPakuaUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2024 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap